https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    HUYU NDIE MWANAJESHI WA KWANZA MREMBO ALIYEBADILISHA JINSIA, ALIZALIWA MWANAUME


    Hannah Winterbourne
    Ukimuona kwa jinsi alivyo mrembo na sura ya kike kweli, huwezi kudhania kuwa, Hannah Winterbourne alizaliwa mwanaume.

    Ni mwanajeshi mahiri aliyefanya kazi kwenye maeneo ya vita nchini Afghanistan na sasa ameamua kujitokeza kama mwanajeshi wa kwanza nchini Uingereza kuwahi kubadilisha jinsia yake. 

    Hannah Winterbourne
    Picha ya kushoto Taswira ya sasa Kulia ni ya zamani

    Ni ofisa wa jeshi kitengo cha Royal Electrical and Mechanical Engineers nchini Uingereza mwenye umri wa miaka 27 aliyetumikia jeshi katika miaka yake ya kwanza kama mwanaume kabla ya kuamua kubadilisha jinsia na kuwa mwanamke.

    Anadai alipokuwa mtoto alijihisi kuwa mwili wake haukuwa sawa kama watoto wengine wa kiume na umri ulivyoenda ndipo alipozidi kugundua kuwa huenda akawa mwanamke.

    Hannah Winterbourne

    Hannah Winterbourne

    Hannah Winterbourne
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: HUYU NDIE MWANAJESHI WA KWANZA MREMBO ALIYEBADILISHA JINSIA, ALIZALIWA MWANAUME Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top