https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    JUMA NATURE KUGOMBEA UBUNGE TAWI LA TEMEKE




    Msanii nguli wa kizazi juma kasim kiloboto, atangaza rasmi nia ya kugombea ubunge jimbo la temeke kumtoa baba wa sitti mtemvu ambaye kwa sasa ni mbunge wa jimbo hilo.lakn alishindwa kuweka bayana ni chama gan atatumia kutimiza lengo hilo, la kuwaondolea kelo wakaz wa temeke.lakn tetesi zinanyetisha kuwa awali ilikuwa atangaze nia kupitia chama cha kafu,lakn mh,sugu amemshaur, kugombea kupitia cdm jambo ambalo bado analifikiria. JE ATAWEZA KUMCHOMOA MTEMVU???
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: JUMA NATURE KUGOMBEA UBUNGE TAWI LA TEMEKE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top