https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MASHABIKI WA SOKA MARA WALIVYOCHANA SUTI YA MWENYEKITI WA SOKA SHINYANGA


     Mwenyekiti wa chama cha soka mkoani shinyanga(shirefa)benester lugora),akiwa kwenye gari la polisi baada ya kuchaniwa suti yeke na mashabiki wenye hasira mkoani mara baada ya kudaiwa kutaka kuwahonga waamuzi wa mchezo kati ya mwadui ya shinyanga na polisi mara katika mchezo wa ligi daraja la kwanza.

     Kocha julio akiokolewa kwa kupakiwa kwenye gari la polisi ili asipigwe
     Mashabiki wakimzonga mwamuzi
     Wachezaji wa mwadui wakitolewa na polisi baada ya kumalizika mchezo kati yao na polisi mara uliomalizika kwa kufungana mabao 2-2 na kutokea kwa vurugu za mashabiki


    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MASHABIKI WA SOKA MARA WALIVYOCHANA SUTI YA MWENYEKITI WA SOKA SHINYANGA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top