Mtibwa imetoka sare ya bao
1-1 dhidi ya Ruvu JKT katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa kwenye Uwanja
wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar.
Sare hiyo inaifanya
iringane pointi 17 sawa na Azam FC na Ruvu JKT.
Vijana hao wa Mecky Maxime
wanakaa kileleni kutokana na kuwa na wastani mzuri wa mabao ya kufunga na
kufungwa.
Credit: Salahejembe.com


