Rap Genius wametangaza rasmi kuwa rapa Drake ndio msanii aliyefuatiliwa zaidi kwenye mtandao wao wa mashairi.
Ukizingatia Drake hajatoa album 2014, ameweza kuwa juu ya wasanii wakubwa kamEminem, Kendrick Lamar, Kanye West, Lil Wayne na J. Cole.
Pia wimbo uliofuatiliwa zaidi kwenye mtandao wao ni wa Beyonce na Jay Z “Drunk in Love,” ukifuatiwa na wa Eminem “Rap God,” na watatu ni Bobby Shmurda “Hot N*gga.”
ORODHA YA NYIMBO ZILIZOFUATILIWA ZAIDI KWA MWAKA 2014
ORODHA YA WASANII WALIZOFUATILIWA ZAIDI KWA MWAKA 2014

- Beyonce ft Jay Z – “Drunk In Love”
- Eminem – “Rap God”
- Bobby Shmurda – “Hot Nigga”
- Rich Gang – “Lifestyle”
- Beyonce – “Partition”
- Drake – “0-100/The Catch Up”
- Lil Wayne ft. Drake – “Believe Me”
- The Weeknd ft. Ty Dolla $ign & Wiz Khalifa- “Or Nah Remix”
- Kendrick Lamar ft. MC Eiht – “m.A.A.d city”
- Big Sean ft. E-40 – “I Don’t Fuck With You”
ORODHA YA WASANII WALIZOFUATILIWA ZAIDI KWA MWAKA 2014
- Drake
- Eminem
- Beyonce
- Kanye West
- Kendrick Lamar
- Childish Gambino
- Jay Z
- Lil Wayne
- J. Cole
- The Weeknd