https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    WILDER SASA MOTO KATIKA UZITO WA JUU


    Deontay Wilder sasa ndiyo gumzo kwa mabondia wanaoonekana kuwa tishio katika uzito wa juu katika ngumi za kulipwa.

    Amefanikiwa kumchakaza mpinzani wake Bermane Stiverne kwa pointi katika mechi iliyopigwa kwenye jiji la Las Vegas, Marekani.
    Katika pambano hilo la ubingwa wa juu wa WBC, alishinda kwa pointi 118-109, 119-108 na 120-107, lakini kwa uwezo aliuonyesha. Basi wakali wengine wakae chonjo.
                                                                                                  
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: WILDER SASA MOTO KATIKA UZITO WA JUU Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top