Mshindi
wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na
Vodacom Tanzania,Uwezo Magedenge ambaye ni mkazi wa Kilolo mkoani
Iringa(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo
pichani)wakati wa hafla maalum ya kukabidhiwa kitita chake,Wengine
katika picha Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom
Tanzania,Brigitta Stephen(kushoto) na Meneja wa Benki ya NMB kanda ya
Dar es Salaam,Selie Mlay.Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam
leo. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda
15544.
Mkuu
wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Brigitta
Stephen(kushoto) na Meneja wa Benki ya NMB kanda ya Dar es Salaam,Selie
Mlay(kulia)wakimshuhudia Mshindi wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya
JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Uwezo Magedenge ambaye ni
mkazi wa Kilolo mkoani Iringa,akiowanyesha waandishi wa habari
mamilioni yake aliyojishindia kupitia promosheni hiyo. Ili mteja kujua
kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
Mkuu
wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Brigitta
Stephen(kushoto) na Meneja wa Benki ya NMB kanda ya Dar es Salaam,Selie
Mlay(kulia)wakimsaidia kubeba mamilioni ya Mshindi wa Milioni 100/-
kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom
Tanzania,Uwezo Magedenge ambaye ni mkazi wa Kilolo mkoani Iringa,wakati
wa hafla fupi ya kumkabidhi kitita hicho.Ili mteja kujua kama ameshinda
anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
Mshindi
wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na
Vodacom Tanzania,Uwezo Magedenge ambaye ni mkazi wa Kilolo mkoani
Iringa(kulia)akipokea kitita chake kutoka kwa Mkuu wa Idara ya huduma
kwa wateja wa Vodacom Tanzania, Brigitta Stephen(kushoto)wakati wa hafla
maalum ya kukabidhiwa kitita hicho leo jijini Dar es Salaam,
aneshuhudia katikati ni Meneja wa Benki ya NMB kanda ya Dar es
Salaam,Selie Mlay. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno
Jay kwenda 15544.
Meneja
wa Benki ya NMB kanda ya Dar es Salaam,Selie Mlay(katikati)
akimsisitiza jambo Mshindi wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya
JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Uwezo Magedenge ambaye ni
mkazi wa Kilolo mkoani Iringa(kulia) wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi
kitita hicho,anaeshuhudia kushoto ni Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja
wa Vodacom Tanzania, Brigitta Stephen .Ili mteja kujua kama ameshinda
anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania walio hudhuria katika hafla fupi ya
kukabidhiwa kitita cha shilingi milioni 100 kwa mshindi wa kwanza wa
kitita hicho kupitia promosheni ya JayMillions.Kuna zaidi ya bilioni
20/- zinawasubiri wateja Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma
neno Jay kwenda 15544.