AMBER ROSE KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA D'BANJ NCHINI NIGERIA
D'Banj akihojiwa.
D'Banj akimnong'oneza jambo Amber Rose.
Amber Rose na D'Banj katika pozi.
D'Banj akifurahia jambo na Amber wakati wa sherehe hizo.
MWANAMUZIKI mahiri wa Nigeria, D'banj jana amesherehekea kuadhimisha
miaka 10 katika muziki ambapo sherehe hizo ziliongozwa na mwigizaji na
mwanamitindo maarufu kutoka nchini Marekani, Amber Rose.