KUTOZINGATIWA kwa udhabiti wa mitaro jijini ni moja ya njia zinazozidisha uchafu jijini Dar es Salaam. Mfano mmojawapo ni chemba ya maji taka ambayo imekuwa ikisambaza uchafu eneo la soko la Mazense, jijini Dar es Salaam, kwa kutoa maji machafu na yenye harufu kali hivyo kuwa kero kwa watu wanaotumia eneo hilo.
MAJI YA CHEMBA YA UCHAFU YAZAGAA SOKONI MANZESE