YULE MWANAFUNZI MWIZI WA COMPUTER WA WANAFUNZI WENZIWE MZUMBE HATIMAYE ANASWA HUYU HAPA
MWANAFUNZI WA CHUO MBARONI "Mwanafunzi
mmoja wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Idara ya sheria mwaka wa pili, Mathias
Thimoth ametiwa mbaroni kwa tuhuma za wizi wa kompyuta mpakato ya
mwanafunzi mwenzake"