makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam kumpumzisha kwenye
nyumba yake ya milele Marehemu Faith Catherine Gondwe, dada yetu
aliyeaga dunia ghafla Jumanne iliyopita nyumbani kwao Baahari Beach
jijini Dar es salaam. Ujumbe wa sauti wa kurekodiwa kutoka kwa Mzee
Gondwe ambaye yuko India kwa matibabu kuliwaliza wengi na wakati huo huo
uliwafariji pale aliposema "Kufariki dunia kwa Faith ni mapenzi yake
Mungu"
Ibada ya mazishi ikiendelea.
Shada maalumu kwa Faith.
Mke
wa Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathia Chikawe, Profesa Amandina
Lihamba akiweka shada la maua kwa niaba ya familia yao ambao ni ndugu wa
karibu na familia ya Gondwe.
Wanachama wa Jambo Group ambao ni marafiki wa karibu wa baba wa marehemu wakiweka maua kaburini.
Marafiki waliosoma na Marehemu Faith nchini India wakiweka maua kaburini.
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Item Reviewed: MAZISHI YA FAITH CATHERINE GONDWE MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM
Rating: 5
Reviewed By: Unknown