|
Katibu tawala wa
mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akiwa ameshika bendera kuashiria uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio
za kimataifa za Kilimanjaro
Marathoni,Uzinduzi uliofanyika Hotel ya Kibo
Homes,Wengine ni Viongozi katika
kampuni ambazo zimejitokeza kudhamini mbio hizo |
|
Katibu tawala wa
mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akizungumza wakati wa hafla fupi
ya uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio
za kimataifa za Kilimanjaro
Marathoni,Uzinduzi uliofanyika Hotel ya Kibo
Homes, |
|
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager
Pamela Kikuli ambao ndio wadhamini wakuu wa Mbio za Kilimanjaro
Marathoni 2015 ,akizungumza wakati wa uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio
hizo uliofanyika Hotel ya Kibo Homes mjini Moshi. |
|
Baadhi ya wageni walikwa katika uzinduzi wa
msimu wa 13 wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni uliofanyika mjini
Moshi.
|
|
Mkurugenzi wa Kanda ya kaskazini wa kampuni
ya Tigo Tanzania ,David Charles ambao ndio wadhamini wa Mbio za
Kilimanjaro Marathoni kilometa 21 akizungumza wakati wa uzinduzi wa
mbio hizo uliofanyika mjini Moshi. |
|
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mafuta na
vilainishi GAPCO ,Caroline Kakwezi ambao ndio wadhamini wa mbio za
watu wenye ulemavu akizungumza wakati wa uzinduzi wa mbio
hizo. |
|
Mwenyekiti wa chama cha riadha mkoa wa
Kilimanjaro (KAA) Liston Methacha akizungumza wakati wa hafla ya fupi
ya uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio za Kilimanjaro
Marathoni. |
|
Mkurugenzi Mtendaji wa Kibo Palace Hotels na
Kibo Homes ,Vicent Lasway akizungumza wakati wa uzinduzi wa mbio hizo
uliofanyika katika Hotel ya Kibo Homes. |
|
Wanariadha toka klabu ya riadha ya Holili
wakifuatilia uzinduzi hhuo. |
|
Baadhi ya viongozi walioalikwa katika
uzinduzi wa mbio hizo. |
|
Mkurugenzi wa kampuni ya ExecutiveSolution
,Aggrey Mareale akitoa maelezo mafupi kuhusiana na mbio za Kilimanjaro
Marathoni ambazo zimeingia msimu wa 13 ,zitakazofanyika mwezi wa tatu
mwaka huu. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii
Kanda ya kaskazini.