https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Picha ya Wema Sepetu Aliyojibinua Tako Yaleta Vijimaneno


    Leo nimepitia ukurasa wa Malkia wa Insta nikakutana na Picha hiyo ya Wema Akiwa ameegemea gari aliyopewa kama zawadi na Martin Kadinda siku ya Birthday yake huku akiwa amekibinua cha chini ya mgogo ..Baadhi ya watu wamemsifia na wengine kujaribu kumshauri ..Soma Comments hapo chini kutoka ukurasa huo :
    dicksonmgesy
    Jaman tumpe chachu ya maendeleo sio kumsifia zari hana tako ila ana mali na hela mpaka anatamani kujiteka. Huku sifa kuwa na tako lisilo na kitu. Hayaaaaa
    __dat__gal__
    Sure @dicksonmgesy alf hcho kigali xx cha uyo wemaa maskin kawaidaaaa xnaaaa yani wema
    hana radhaaa hanaaa
    dicksonmgesy
     tangu awe mis mpaka leo ana nini? Angalia wenzake kama jokate hana jna kubwa ila ana mafanikio yeye anaishi maisha ya kuigiza yuko wap? Afike mahali ajitambue aache kufanya maonyesho sifa sio maendeleo tangu tuanze kumsifia tumeshawahi kumpa hata mia?
    Samgal
    aache maisha ya maigizo, tunataka kuona maendeleo sio skendoz
    theysay0
    @dicksonmgesy kila mtu na baraka zake na kwa wakati wake. How many people they hv bn trying and trying and reach their goals. Her time will come.
    hashypapito
    Nilisikia wakisema wema shapeless kumbe walimaanisha shapeclass daaaah nampendaga bureeee
    Wildsweetcandies
    Haters don't really hate you @wemasepetu , they hate themselves; because you're a reflection of what they wish to be.
    malkia_wa_insta
    2 days ago
    Si mpaka uwe nalo la kubinuaa likabinuaaa aloooooooooooo ������������wema namba ingne bhnaaa
    Haya na wewe unampa Ushauri Gani kutoka na hiyo Picha?
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Picha ya Wema Sepetu Aliyojibinua Tako Yaleta Vijimaneno Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top