Rais
Prof. Jakaya Mrisho Kikwete akipatiwa maelezo wakati akitembelea mabanda
ya maonyesho ya kisheria katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya
Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye
mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.Katikati ni Spika wa Bunge,Mh. Anne
Makinda.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Rais
Prof. Jakaya Mrisho Kikwete,Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande
Othman na Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda wakiimba wimbo wa taifa wakati
wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye
viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es
salaam.
Rais
Prof. Jakaya Mrisho Kikwete,Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande
Othman,Waziri wa Katiba na Sheria,Dkt. Asha-Rose Migiro pamoja na Jaji
Mkuu wa Zanzibar,Mh. Omar Othman Makungu wakiimba wimbo wa taifa wakati
wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye
viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es
salaam.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Sehemu ya Majaji.
Sehemu
ya Majaji wastaafu wakishiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya
Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye
mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
Sehemu ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliohudhulia.
Sehemu ya Wanasheria
Baadhi ya viongozi wa dini kutoka madhehebu mbali mbali wakitoa baraka zao katika maadhimisho hayo.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Wadau wa maswala ya Sheria.
Wanahabari wakiendelea kurekodi tukio zima la Siku ya Sheria.
Rais
Prof. Jakaya Mrisho Kikwete na Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande
Othman wakifurahi jambo na Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda katika kilele
cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya
Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Mwanasheria
Mkuu wa Serikali,Jaji George Masaju akitoa hotuba yake katika kilele
cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya
Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
Meza kuu.
Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman.
Rais
wa Chama cha Chama cha Mawakili,Mh. Charles Rwechungura akitoa hotuba
yake katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo
kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar
es salaam.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Jaji
Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman akitoa hotuba yake katika
kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye
viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es
salaam.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Rais
Prof. Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akitoa salamu zake
kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo
kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar
es salaam.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya Majaji wastaafu waliohudhulia kwenye
kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye
viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es
salaam.
Jaji
Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman akisalimiana na Kamanda wa
Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,ACP Suleiman Kova.Katikati ni Kaimu
IGP,Abrahman Kaniki.
Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman katika picha ya pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama.
Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman akiongoza maandamano ya Majaji wakati wa kilele
cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya
Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman akipokea salamu ya heshima kutoka jeshi la polisi.