https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    BEKI ALIPOOSHA KICHWA CHA MSHAMBULIAJI BADALA YA MPIRA

    Mchezaji wa timu ya Herediano alikimbizwa hospitali baada ya kupigwa buti kichwani wakati wa michuano ya ya Ligi ya Mabingwa Amerika Kusini chini ya Shirikisho la Soka barani humo (Concacaf).Mechi hiyo ya nusu fainali kati ya Herediano ya Costa Rica dhidi ya Club America tukio hilo liliwashitua wengi uwanjani hapo.Huku dakika zikiwa zinayoyoma, beki wa Club America Paolo Goltz alikuwa akiosha mpira lakini buti lake liliishia kichwani mwa Cristhiam Lagos.


    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BEKI ALIPOOSHA KICHWA CHA MSHAMBULIAJI BADALA YA MPIRA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top