BREAKING NWZZ :MOTO WAUNGUZA KITUO CHA TANESCO KURASINI, DAR
HABARI
zilizotufikia hivi punde ni kwamba kituo cha Shirika la Umeme la
Tanzania (Tanesco) kilichopo eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam
kinaungua kwa moto muda huu. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde.