https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    KINANA ATUA JIMBO LA MONDULI AANZA ZIARA YA MKOA WA ARUSHA


     Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara baada ya kuwasili Monduli tayari kwa ziara ya siku moja jimboni humo.
     Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na Mbunge wa Jimbo laMonduli,Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara baada ya kuwasili Monduli tayari kwa ziara ya siku moja jimboni humo.
     Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea salaam kutoka kwa Chipukizi wa CCM wakati wa mapokezi Makuyuni, Monduli Arusha.
     Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi na wananchi wa Monduli.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KINANA ATUA JIMBO LA MONDULI AANZA ZIARA YA MKOA WA ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top