Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijibu hoja mbali mbali
zilizoletwa na kamati ya soko la Kilombero ikiwa pamoja na kupandishiwa
kodi bila utaratibu maalum.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi wa Arusha
kwenye soko la Kilombero ambapo walisalimu wananchi waliojitokeza kwa
wingi.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wa
chama na serikali wakila chakula kwa Mama Lishe wa soko la
Kilombero,jijini Arusha.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wa wananchi baada ya
kuzindua shina la kikundi cha wajasiriamali Oysterbay Unga Ltd.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana wakinywa kahawa mara baada ya kumaliza kuwasalimu na
kuzindua shina la wakereketwa wajasiriamali Oysterbay, Unga ltd, Arusha.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na viongozi wengine wa
CCM kuelekea kwenye soko la Kilombero,jijini Arusha.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wanananchi wakati
akiwasili kwenye soko la Kilombero lililopo jijini Arusha.
Wananchi na wafanya biashara wa soko la Kilombero ,jijini Arusha wakimpa mikono Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Item Reviewed: KINANA AWATETEMESHA WAPINZANI ARUSHA LEO
Rating: 5
Reviewed By: Unknown









