https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    LADY JAYDEE AFUNGUKA NIKIFA NIZIKWE KWENYE GENEZA JEUPE NA NISIFUNULIWE



    leo mwanadada lady jaydee ametoa kali ya mwaka na kushangaza walimwengu pamoja na mashabiki wake wa muziki, leo msanii huyo amefunguka kupitia mtandao wa kijamii wa insta na makubwahaya yakuwa ilikuwa pendekezi lake akifa basi atiwe kwenye sanduki hilo jeupe na asifunuliwe isipokuwa kwa invitees maalum nanukuu maneno ya lady jaydee I've changed my mind Sitaki tena lile la purple Moja kati ya hayo hapo juu #MsiMind #KilaMtuAtakufa #Msiogope Nilikuwa nafikiria pia iwe invitees only #SitakiKufunuliwa
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: LADY JAYDEE AFUNGUKA NIKIFA NIZIKWE KWENYE GENEZA JEUPE NA NISIFUNULIWE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top