Mh.BARUAN MBUNGE WA LINDI MJINI.....CUF.....AMESEMA HAYA LEO
Zitto alitakiwa
asiende chama chochote kwa sasa mana kwenda ACT kama alivyofanya ni
kuthibitisha kuwa tuhuma alizopewa na chadema ni za kweli kuwa ni
msaliti na ameanzisha chama ndani ya chama na mimi nahisi zitto
anatumika na ccm kupunguza nguvu ya ukawa. Kwa upande wangu sina imani
tena na zitto namuona kama maji kwenye moto uliowashwa kumuangamiza
nyoka anayetesa na kutafuna vijusi vidogo visivyo na hatia. Kwa maamuzi
haya zitto tunamsahau kwenye tasnia ya siasa. Siasa ni chupa ya chai
ikikutoka kidogo tu imekukosa!

