| Meneja
Mauzo wa kampuni ya Megatrade Investment Ltd ,kanda ya
Kaskazini,Edmund Rutaraka akikabidhi jezi kwa Katibu wa Chama cha soka
wilaya ya Hai(HAIDAFA) Cuthbert Mushi huku zoezi hilo likishuhudiwa na
wajumbe wa kamati ya utendaji ya chama hicho Fauzia Lema na Marry
Munuo(Mwenye kofia) wengine ni wawakilishi wa mauzo wa kampuni ya
Megatrade Investment kwa mkoa wa Kilimanjaro,Loserian Laiser na
Filbert Furaha. |
| Baadhi
ya vifaa vya michezo vyenye thamani ya kiasi cha shilingini Milioni 5
vilivyotolewa na kampuni ya Megatrade Investment ya Jijini Arusha kwa
ajili ya vilabu 10 vinavyoshiriki ligi daraja la nne ngazi ya wilaya
ya Hai. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini. |

