https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MVUA YASABABISHA KERO KWA WANANCHI DAR

    Watembea kwa miguu wakipita kwa tabu eneo la Afrika-Sana.

    Magari pamoja na Bajaj zikionekana kupita kwa tabu eneo la Afrika-Sana
    Eneo la Bamaga likionekana kujaa maji huku watembea kwa miguu wakipita kwa tabu.
    Maji yakiwa yametapakaa eneo la Bamaga.
    MVUA inayoendelea kunyesha jijini Dar, tayari imeanza kusababisha kero kwa wakazi wa jiji hilo kufuatia mitaro ya maji machafu kufurika na kuwafanya watu washindwe kutumia vizuri barabara.
    Miongoni mwa maeneo yaliyoathiriwa na mvua hiyo ni pamoja na Sinza, Afrika-Sana na Bamaga-Mwenge ambapo mwanahabari wetu alishuhudia wananchi wakipata usumbufu wa kuvuka barabara zilizojaa maji hali ambayo imesababisha washindwe kufika katika shughuli zao kwa wakati
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MVUA YASABABISHA KERO KWA WANANCHI DAR Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top