WATU WAWILI WAMEKUFA BAADA YA BASI LA FM SAFARI T179CRG KUTOKA DAR KWENDA MBEYA KUGONGANA NA LORI MAENEO YA MIKUMI
Watu
wawili wamekufa katika Ajali nyingine iliyotokea muda mfupi uliopita
huko mikumi kati ya basi T179CRG mali ya Fm safari linalotoka dsm kwenda
mbeya na roli aaina ya Fuso. Tutaendelea kukujuza
Item Reviewed: WATU WAWILI WAMEKUFA BAADA YA BASI LA FM SAFARI T179CRG KUTOKA DAR KWENDA MBEYA KUGONGANA NA LORI MAENEO YA MIKUMI
Rating: 5
Reviewed By: Unknown