https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    AJALI YA BASI LA NGANGA NA FUSO ,BASI LATEKETEA KWA MOTO


    Basi la Nganga linalofanya safari Iringa - Kilombero limegongana uso kwa uso na fuso kisha magari hayo kuteketea kwa moto huko maeneo ya milimani km kadhaa kutoka Ruaha Mbuyuni kama unaenda Morogoro.
    Watu kadhaa wamepoteza maisha akiwemo dereva wa fuso hilo na wengine wamekufa kwa kuteketea na moto.
    Ajali hyo imetokea leo asubuhi saa 2.


    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: AJALI YA BASI LA NGANGA NA FUSO ,BASI LATEKETEA KWA MOTO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top