Mkurugenzi
wa organization na mafunzo CHADEMA Taifa, Benson Kigaila, akihutubia
mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye uwanja wa
Peoples mjini
Singida ukiwa na lengo na kuzindua mafunzo yanayoendelea kutolewa
nchini kote na chama hicho, kujiimarisha kwa ajili ya uchaguzi mkuu
unaotarajiwa kufanyika oktoba mwaka huu.
Baadhi
ya wanaCHADEMA na wananchi wa mji wa Singida, waliophudhuria mkutano wa
hadhara ulioitishwa kwa ajili ya kumsikiliza mkurugenzi wa organization
na mafunzo wa CHADEMA Taifa, Benson Kigaila (hayupo kwenye picha)
kwenye viwanja vya Peoples mjini Singida.(Picha na Nathaniel Limu).

