Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Tanzania Hy zong Sun Seo,akikata
utepe kuashiria uzinduzi wa duka la Samsung mkoani Mbeya ambalo
litatumika pia kama kituo cha huduma za wateja katika hafla iliyofanyika
mwishoni mwa wiki mjini Mbeya,wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa kampuni
hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Tanzania Hy zong Sun Seo,
akiongea na waandishi wa habari waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa duka
la Samsung mkoani Mbeya ambalo litatumika pia kama kituo cha huduma za
wateja katika hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki mjini
Mbeya,wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Baadhi
ya wafanyakazi wa duka jipya la Samsung mkoani Mbeya katika picha ya
pamoja wakati wa hafla ya uzinduzi wa duka hilo ambalo pia litatumika
kama kituo cha huduma za wateja mkoani humo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung TanzaniaHy zong Sun Seo akihutubia wafanyakazi na wageni waalikwa waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi
wa duka la Samsung mkoani Mbeya ambalo litatumika pia kama kituo cha
huduma za wateja katika hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki mjini
Mbeya,wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa kampuni hiyo