Ukitofautisha na kipato cha makocha wa
hapa kwetu ambao bado wamekuwa hawapewi kipaumbele kama ilivyo kwa
wenzetu, huku klabu kubwa kama za Simba na Yanga bado zimeendelea
kuwaamini makocha wa kigeni
Hii ndiyo list kamili ya makocha wenye kupokea kiasi kikubwa cha fedha ndani ya klabu zao:-
1. Pep Guardiola
Huyu
ni kocha wa Buyern Munich, ameitumikia timu yake kwa mafanikio makubwa
huki akiisaidia kupata mataji mbalimbali, ndiye kocha anayeongoza kwa
kulipwa mshahara mkubwa kuliko wote kwa kupokea kiasi cha dola milioni
24
2. Jose Maourinho
Huyu
ni kocha wa Chelsea ambaye anajulikana kwa kuwa na maneno mengi,kwa
sasa yupo mbioni kuwania ubingwa wa ligi kuu ya England,ni kocha
anashika nafasi ya pili kwa kulipwa kiasi kikubwa cha pesa na hupokea
kiasi cha dola milioni 17
3. Marcello Lippi
Ameifundisha
kwa mafanikio makubwa timu ya Taifa ya Italy na kufanikiwa kutwaa kombe
la dunia mwaka 2006,anapokea kiasi cha dola milioni 14
4. Fabio Capello
5. Carlo Ancelotti
6. Arsene Wenger
7. Gerardo Martino
8. Jurgen Klopp
9. Manuel Pellegrini
10. Jorge Jesus

