wao.
Kamanda
wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, akiwatuliza
madereva waliogoma na kuwaahidi kutatuliwa tatizo lao.
Mabasi
yakiwa yameegeshwa kituo cha mabasi ya kwenda mikoani, Ubungo, jijini
Dar, kufuatia madereva kufanya mgomo wakipinga kubadilishiwa leseni na
kutakiwa kwenda chuoni kabla ya kukabidhiwa leseni hizo.