Mchana badala ya kujishindilia ugali au chips
Unaweza kusaga mchanganyiko wa matunda unayo ya pendant, bila kuongeza maji
Yanatoka mazito kama mtoni, ukinywa glass 2 tu hutasikia hamu ya kula chochote kile kwa jinsi tumbo litakavyokuwa limejaa
![]() |

Jioni badala ya kula wali na maharage, unachukua mboga mboga unazi blend ukichanganya na tunda lolote tamu, apple ama nanasi,
mboga unazoweza kutumia ni zozote zile za kijani.
Iwe, mchicha, spinach n.k
Unavisaga kwenye machine mpaka vinakuwa ujinga
Ili Kupata juice nzuri unaichuja Ili kuondoa makapi
baada ya hapo ni kunywa maji mengi tu, huna haja ya kula chakula kingine chochote kile
sababu hicho chenyewe ni chakula tosha
Ukishindwa kabisa kuzuia hamu ya kula
jisaidie kidogo kwa supu ya kuku au samaki
ambayo haijawekwa vitu vingi zaidi ya chumvi na limao au ndimu.
Fuatisha utaratibu huu kwa muda wa miezi 3
Uone matokeo yake








