Mkurugenzi
Mkuu wa Makampuni ya Tumbaku ya Tanzania Tobacco Procesing Limited
(TTPL) na Tanzania Leaf Tobacco Company (TLTC) David Crowhorst Akitoa
hotuba yake wakati wa sherehe za kumaliza msimu uliopita na kukaribisha
msimu mwingine pamoja na kutoa zawadi kwa wafanyakazi waliotumikia
kampuni hizo kwa muda mrefu pamoja na wafanyakazi bora zilizofanyika
Kiwandani hapo.Katika Hotuba yake Mkurugenzi Huyo alisema Makampuni
hayoyamesaidia Mkoa wa Morogoro kuanza kuinuka kiuchumi kutokana na
kutoa ajira za msimu takribani 3000 kila mwaka na kusaidia kupunguza
matatizo ya uhalifu yaliyokuwa yakifanywa na vijana wasio kuwa na
shughuli za kujiingizia kipato.
Mkurugenzi
mkuu wa Makampuni ya Tumbaku ya Tanzania Tobacco Procesing Limited
(TTPL) na Tanzania Leaf Tobacco Company (TLTC) David Crowhorst
Akikabidhi zawadi kwa wafanyakazi waliofanya kazi kwa muda mrefu Ambao
wamefanya kazi kwa zaidi ya Miaka 15 Mfululizo.
Mkurugenzi
mkuu wa Makampuni ya Tumbaku ya Tanzania Tobacco Procesing Limited
(TTPL) na Tanzania Leaf Tobacco Company (TLTC) David Crowhorst
Akiwapakulia Chakula waliokuwa wafanyakazi wa kiwanda hicho wakati wa
tafrija hiyo
Mkurugenzi
wa Ufundi wa Makampuni ya Tumbaku ya Tanzania Tobacco Procesing Limited
(TTPL) na Tanzania Leaf Tobacco Company (TLTC) Henry Lembert
Akiwahudumia wafanyakazi wa kiwanda hicho wakati wa Sherehe ya Kufunga
Msimu.
Mkurugenzi mkuu w David Crowhorst akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa Kiwanda hicho
Picha ya Pamoja ya waliokuwa wafanyakazi wa kiwanda cha Tumbaku cha Mkoani Morogoro