Baadhi ya wafanyakazi wa NexLaw Advocates chini ya jengo la PPF TOWER (Zilipo ofisi za kampuni hiyo)
wakipakia vitu kwenye gari kabla ya kuanza safari kuelekea Vituo viwili vya kulelea
watoto ambavyo ni House of Blue Hope kilichopo Mabibo na Msimbazi Children’s
Home vilivyopo jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Wafanyakazi wa NexLaw Advocates wakimsikiliza Bwana Daudi Mboma muanzilishi
wa kituo cha kulelea watoto yatima
cha House of Blue Hope kilichopo
Mabibo Jijini Dar es salaam.
Wafanyakazi
wa NexLaw Advocates wakimsikiliza Bwana Daudi Mboma ( hayupo pichani)
muanzilishi wa kituo cha kulelea watoto yatima
cha House of Blue Hope kilichopo
Mabibo Jijini Dar es salaam.
Wafanyakazi
wa NexLaw Advocates wakiwa kwenye picha ya
pamoja na watoto na Bw. Daudi Mboma (katikati mwenye t shirt ya mistari mistari)
ambaye ni mwanzilishi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha House of Blue Hope
kilichopo Mabibo pamoja na watoto wanaolelewa kituoni hapo.
Dr.
Saudin Mwakaje pamoja na Wakili Stanley Mabiti wakikabidhi moja ya zawadi kwa
mwanzilishi wa kituo cha House of Blue Hope Bw. Daudi Mboma kilichopo Mabibo
Dar es Salaam.
Partners wa NexLaw Advocates wakijadili jambo baada ya
kuwasili katika kituo cha kulelea watoto cha Msimbazi Childrens Home
Mr. Nuhu Mkumbukwa mmoja wa partners wa NexLaw Advocates
akiwa amembeba mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha watoto cha Msimbazi
Children’s home.
Sister Anna Francis, mlezi wa kituo cha kulelea watoto cha
msimbazi Childrens Home akiwa amembeba mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo
hicho.
Nexlaw Advocates waliandaa chakula cha mchana kwa ajili ya
kula pamoja na wafanyakazi wa Msimbazi Children’s Home.
Wafanyakazi wa Msimbazi Childrens Home Centre wakichukua chakula.
Wafanyakazi wa NexLaw Advocates wakipata chakula cha mchana
pamoja na wafanyakazi wa Msimbazi Children’s Home Centre.
Baadhi
ya wafanyakazi wa NexLaw Advocates wakielekea kukabidhi bidhaa zilizopelekwa
Msimbazi Children’s Home Centre cha
Msimbazi jijini Dar es salaam
Baadhi
ya wafanyakazi wa NexLaw Advocates wakielekea kukabidhi bidhaa zilizopelekwa
Msimbazi Children’s Home Centre cha
Msimbazi jijini Dar es salaam
Sister
Anna Francis mlezi wa kituo cha watoto cha Msimbazi Children’s Home wakijadili
jambo na wafanyakazi wa NexLaw Advocates.