Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na
Mawasiliano Dk.Juma Malik Akili wakati alipofanya ziara ya kutembelea
ujenzi wa jengo la Abiria Terminal II katika uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein(katikati) akifuatana na Viongozi mbali mbali wakati alipofanya
ziara ya kutembelea Ofisi ya Zima moto na sehemu mbali mbali ikiwemo na
ujenzi wa jengo la Abiria Terminal II katika uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo.
Mkuu
wa Kikoso cha Zimamoto Zanzibar Kamishna Ali Abdalla Maalim Ussi akitoa
maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipotembelea kiyuo cha Zima moato kiliopo
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume alipofanya ziara
maalum leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Wafanyakazi wa Kampuni ya kichini inayojenga Jengo la
Terminal II leo wakati alipofanya ziara maalum ya kutembelea maendeleo
ya Ujenzi wa jengo hilo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid
Amani Karume.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa Mshauri mwelekezi wa kampuni ya adpi ya
Ufaransa Guillaume VERNA wakati alipofanya ziara maalum ya kutembelea
maendeleo ya Ujenzi wa jengo hilo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Abeid Amani Karume.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Jengo la
Abiria Terminal II Yasser De Costa katika Wizara ya Miundimbinu na
Mawasiliano wakati alipofanya ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya
Ujenzi wa jengo la Abiria Terminal II katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo ya kiufundi kutoka kwa Mshauri mwelekezi wa kampuni ya
adpi ya Ufaransa Guillaume VERNA wakati alipofanya ziara maalum ya
kutembelea maendeleo ya Ujenzi wa jengo la Abiria Terminal II unaojengwa
na kampuni ya Kichina katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid
Amani Karume leo (kushoto)Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na
Mawasiliano Dk.Juma Malik Akili.[Picha na Ikulu, Zanzibar.]