RAIS KIKWETE AHUDHURIA IBADA YA KUSIMIKWA ASKOFU MPYA WA JIMBO KATOLIKI SHINYANGA MHASHAMU LIBERATUS SANGU
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza askofu Mpya wa Jimbo Katoliki
Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu wakati wa ibada ya kumweka wakfu
iliyofanyika katika kanisa kuu la Parokia ya Mama mwenye Huruma, Ngokolo
mjini Shinyanga leo. (picha na Freddy Maro)
Item Reviewed: RAIS KIKWETE AHUDHURIA IBADA YA KUSIMIKWA ASKOFU MPYA WA JIMBO KATOLIKI SHINYANGA MHASHAMU LIBERATUS SANGU
Rating: 5
Reviewed By: Unknown