Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrishi Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa
mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa
mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki jana asubuhi
katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa
kufanyika kesho huko Morogoro.Waziri
Mkuu Mhe Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa
Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa
Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki jana asubuhi katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika
kesho huko Morogoro.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrishi Kikwete akifariji mjane wa marehemu baada ya kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki jana asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kesho huko Morogoro.

Waziri
Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akifariji wana familia baada ya kutoa heshima
zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga
(Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye
alifariki jana asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi
yake yanatarajiwa kufanyika kesho huko Morogoro.