Pikipiki ambazo ziliongoza mapokezi hayo zikiwa katika msafara.
Viongozi wa Juu wa chama cha ACT wakiimba na kucheza jukwaani kwa furaha ya mapokezi makubwa waliyo yapata mkoani Songea.
Zitto Kabwe akiwa jukwaani akisalimia wana Songea.
Msanii wa Bongo Fleva, Afande Sele, Mbunge Mtarajwa wa Jimbo la Morogoro Mjini, akiwahutubia wakazi wa mji wa Songea.
Mwenyekiti Anna Mngwira, baada ya Kuzindua ofisi za Mkoa za chama cha ACT Mkoani Ruvuma.