Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kulia),
akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja
wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’,
Tipwa Rashid Mapunda (kushoto), katika hafla iliyofanyika Makao Makuu
ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia (kutoka wa pili
kushoto) ni washindi wengine wa droo hiyo, William Saimon Sondi na
Boutrous Hebron Mwanjali.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kulia),
akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja
wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’,
William Saimon Sondi (wa pili kushoto), katika hafla iliyofanyika
Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni
washindi wengine wa droo hiyo, Tipwa Rashid Mapunda (kushoto) na
Boutrous Hebron Mwanjali.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kulia),
akifurahia jambo na washindi wa washindi wa droo ya mwisho ya
promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, (kutoka kushoto), Tipwa Rashid
Mapunda, William Saimon Sondi na Boutrous Hebron Mwanjali, baada ya
kuwakabidhi funguo za magari yao aina ya Toyota IST, katika hafla
iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kushoto),
akikabidhi funguo za gari jipya aina ya Toyota IST kwa mmoja wa
washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’,
William Saimon Sondi katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel
jijini Dar es Salaam jana.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kushoto),
akikabidhi funguo za gari jipya aina ya Toyota IST kwa mmoja wa
washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’,
Tipwa Rashid Mapunda katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel
jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (katikati) ni mume wa mshindi
huyo, Mzee Simon Tawata Mapunda.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kushoto),
akimuelekeza jambo mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni
ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’ Tipwa Rashid Mapunda, baada ya kumkabidhi
funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, katika hafla iliyofanyika
Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia
(katikati) ni mume wa mshindi huyo, Mzee Simon Tawata Mapunda.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kushoto),
akikabidhi funguo za gari jipya aina ya Toyota IST kwa mmoja wa
washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’,
Boutrous Hebron Mwanjali katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya
Airtel jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (katikati) ni mke wa
mshindi huyo, Hellena na mtoto wao, Alpha.