Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na walimu
wa Shule ya Msingi ya Rasaisei English Medium ya mjini Dodoma baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Aprili 24, 2015. Wapili kulia
ni Rubani wa Ndege za serikali, Narzis Kisimbo , kulia ni Mwalimu
Esther Minja na kushoto ni mwalimu Emmanuel Kubyo.Wanafunzi hao walikuwa
kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ziara ya kujifunza. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wafanyakazi wa Wakala wa Ndege za
Serikali baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma
Aprili 24, 2015.Kutoka kushoto ni Rubani Naeziz Kisimbo, Mhandisi, Dioniz Majogo na Afisa Uendeshaji, Mohammed Mwilima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Aprili 24, 2015.Kutoka kushoto ni Rubani Naeziz Kisimbo, Mhandisi, Dioniz Majogo na Afisa Uendeshaji, Mohammed Mwilima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)