Waombolezaji
wakisoma dua ya kumwombea marehemu Abdallah Rehani, Baba Mzazi wa Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, Marehemu Mzee Abdallah Rehani nyumbani
kwa Marehemu, Tabata jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi akimpa pole Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda katika mazishi ya baba mzazi wa mkewe, Marehemu Mzee
Abdallah Rehani yaliyofanyika kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es
salaam, Aprili4, 2015.
Waombolezaji
wakizika mwili wa baba mzazi wa mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda ,
Marehemu Abdallah Rehani kwenye Makaburi ya Segerea jijini Dar es
salaam, Aprili 4, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akishiriki katika mazishi ya Baba Mkwe wake ,
Marehemu Abdallah Rehani kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam
Aprili 4, 2015.
Makamu wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad akishiriki katika mazishi
ya Baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, Marehemu Abdallah
Rehani kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi akishiriki katika mazishi ya
Baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, Marehemu Abdallah
Rehani kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Katibu
Mkuu wa CHADEMA, Dr. Wilbroad Slaa akishiriki katika mazishi ya baba
mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda, Marehemu Abdallah Rehani
yaliyofanyika kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aorili 4,
2015.
Baadhi ya
Viongozi wa Vyama vya Siasa na Serikali walioshiriki katika mazishi ya
Baba Mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda, Marehemu Abdallah
Rehani yaliyofanyika kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam
Aprili 4, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Kwanza wa rais wa Zanziba Seif Sharif
Hamad wakitoka kwenye eneo la makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam
baada ya mazishi ya baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah
Rehani Aprili 4, 2015. Kushoto ni Waziri Mkuu, Mstaafu, Frederick Sumaye
na mwenye koti jeusi katikati ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,
Balozi Seif Iddi.
Spika wa
Bunge Anne Makinda akitoa pole kwa familia ya Marehemu akiwemo mke wa
Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (kulia) ambaye alifiwa na baba yake Mzazi,
Mzee Abdallah Rehani , Nyumbani kwa marehemu,Tabata jijini Dar es salaam
Aprili 4, 2015 . Wengine pichani ni ndugu wa karibu wa Mama Pinda.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbroad
Slaa katika mazishi ya babamkwe wake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya
Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015. Kushoto ni Makamu wa Kwanza
wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamad.
(Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)