ZITTO KABWE"WABUNGE ZAIDI YA 50 KUJIUNGA NA ACT-WAZALENDO"
Kiongozi
wa Chama cha ACT - Wazalendo , Zitto Kabwe amesema zaidi ya wabunge 50
kutoka vyama mbalimbali vya siasa nchini watajiunga na Chama chake kipya
cha "ACT", wakiwemo wa CCM na Chadema.