https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    CCM INA UWEZO WA KUTAFUTA MGOMBEA WA URAIS MWENYE SIFA - RAZA

    Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,Mohamed Raza akionesha baadhi ya vifungu vya sheria vilivyopo kwenye kitabu kidogo cha sheria za Zanzibar,Mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam.
    Mtangazaji wa BB Swahili nchini Tanzania,Arnold Kayanda akifanya mahojiano mafupi na Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mohamed Raza mara baada ya kuzungumza na Waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo.
    Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano wa Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mohamed Raza katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo. Picha na Avila Kakingo-Globu ya Jamii.

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: CCM INA UWEZO WA KUTAFUTA MGOMBEA WA URAIS MWENYE SIFA - RAZA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top