https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    FC BARCELONA MABINGWA WA LA LIGA 2014/2015, WAWACHAPA WAGUMU ATLETICO MADRID 1-0

    Wachezaji wa FC Barcelona wakifurahia kutwaa ubingwa wa La Liga 2014/2015 mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi kuu nchini Hispania dhidi ya Atletico Madrid, mchezo uliomalizika kwa Barcelona kuibuka na ushindi wa goli 1-0.
    Timu ya soka ya FC Barcelona wamefanikwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu nchini Hispania hapo jana baada ya kuitungua Atletico Madrid kwa bao 1-0 katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Vicente Calderon. 

    Bao pekee la Barcelona lilifungwa na mshambuliaji Lionel Messi katika dakika ya 65 ya mchezo huo. 

    Barcelona wametwaa ubingwa wakiwa na pointi 93 wakifuatiwa na Real Madrid wenye pointi 89 ili hali Atletico de Madrid wakiwa na pointi 77.


    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: FC BARCELONA MABINGWA WA LA LIGA 2014/2015, WAWACHAPA WAGUMU ATLETICO MADRID 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top