HAWA NDIO WACHEZAJI WANAONGOZA KWA KUTUPIA NYAVUNI KWENYE SERIE A TANGU MWAKA 1929
Serie A ligi ya Italy imeanza rasmi kwenye msimu 1929-30 na tangu
siku msimu huo mabao ya kutosha yametupiwa langoni na wachezaji
mbalimbali. Hii hapa ni list ya wachezaji waliowai kutupia magoli mengi
sana tangu ligi hiyo ianze rasmi.