NUMBER HAZIONGOPI…HIZI NI TAKWIMU KUTOKA KWENYE MSIMU WA LA LIGA 2014/2015
Karibia kila ligi maarufu za nchi mbalimbali zimefikia mwisho na
mabingwa kupatikana. Bingwa wa La Liga ni Barcelona lakini kuna mengi ya
kujua zaidi ya kumjua bingwa na mfungaji bora. Hizi hapa ni takwimu
kutoka kwenye vitu mbalimbali vilivyohusika kwenye La Liga 2014/2015