Kipa
wa Manchester United, David De Gea (kulia) akiojiwa na Jim Rosethal
(katikati) baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2014/15 wa
Man Utd usiku wa kuamkia leo.
KIPA wa Manchester United, David de Gea ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Manchester United usiku wa jana.
Mchezaji Bora wa Mwaka wa U18: Axel Tuanzebe
Mchezaji Bora wa Mwakja wa U21: Andreas Pereira
Mchezaji Bora wa Msimu: David de Gea
Bao Bora la Msimu: Juan Mata v Liverpool
Mchezaji Bora wa Mwaka: David de Gea