Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open
Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akifungua rasmi mkutano
wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20,
2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akielezea jambo wakati akifungua rasmi mkutano wa
siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20,
2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open
Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Sehemu ya wajumbe wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati
akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership
(OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini
Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Sehemu
ya wajumbe wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati akifungua
rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika
Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
leo Mei 20, 2015
Mjumbe
kutoka Liberia akitoa vote of thanks baada ya Rais Jakaya Mrisho
Kikwete kufungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government
Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Sehemu ya wajumbe wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati
akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership
(OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini
Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Mjumbe
kutoka Liberia akitoa vote of thanks baada ya Rais Jakaya Mrisho
Kikwete kufungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government
Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Mshereheshaji
wa mkutano huo Mhe. Maria Sarungi-Tsehai akitoa maelezo baada ya Rais
Jakaya Mrisho Kikwete kufungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open
Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Mkurudenzi Mtendaji wa taasisi ya Twaweza Bw. Brian Eyakuze
akimkaribisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete kupokea tuzo maalumu ya
taasisi zisizo za kiserikali kwake kwa kuwa kiongozi aliyetekeleza kwa
vitendo masuala ya Serikali ya Uwazi na Ushirikiano. Hii ni wakati wa
ufunguzi wa mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP)
katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo Mei 20, 2015
Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Twaweza Bw. Brian Eyakuze akimkabidhi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete tuzo maalumu ya taasisi zisizo za
kiserikali kwake kwa kuwa kiongozi aliyetekeleza kwa vitendo masuala ya
Serikali ya Uwazi na Ushirikiano. Hii ni wakati wa ufunguzi wa mkutano
wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20,
2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru kwa kupewa tuzo maalumu ya taasisi
zisizo za kiserikali kwake kwa kuwa kiongozi aliyetekeleza kwa vitendo
masuala ya Serikali ya Uwazi na Ushirikiano. Hii ni wakati wa ufunguzi
wa mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika
Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
leo Mei 20, 2015
Rais
Kikwete na viongozi wengine katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali
baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa siku mbili wa Open Government
Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Rais
Kikwete na viongozi wengine katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali
baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa siku mbili wa Open Government
Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Rais Kikwete akisalimiana na Balozi wa Ujerumani nchini ambaye ameshiriki katika mkutano huo na mabalozi wengine wengi
Rais
Kikwete na viongozi wengine katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali
baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa siku mbili wa Open Government
Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Rais Kikwete akisalimiana na mmoja wa mabalozi ambaye ameshiriki katika mkutano huo na mabalozi wengine wengi
Rais
Kikwete na viongozi wengine katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali
baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa siku mbili wa Open Government
Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Rais
Kikwete na viongozi wengine wakijiandaa kupata picha ya pamoja na wadau
mbalimbali baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa siku mbili wa Open
Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Rais
Kikwete na viongozi wengine katika picha ya pamoja na kamati ya
maandalizi mbalimbali baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa siku mbili
wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa
Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Rais
Kikwete na viongozi wengine katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali
baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa siku mbili wa Open Government
Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015
Rais Kikwete akiagana mmoja wa wajumbe wa mkutano huo.