https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    WAHAMIAJI WAJICHIMBIA KWENYE MAENEO FINYU YA GARI ILI KUZAMIA ULAYA


    Wahamiaji sita wamebainika wakiwa wamejificha kwenye maeno yenye nafasi finyu kwenye gari wakisafirishwa na genge la mafia la usafirishaji haramu watu.

    Wahamiaji hao wamebainika na kikosi cha ulinzi cha Hispania kwa kipindi cha siku mbili kwenye mpaka na Morocco na eneo la Hispania lililo ingia kaskazini mwa Afrika la Melilla.

    Wahamiaji hao wote sita ni vijana wa kiume kutoka Guinea na walikuwa wanasafiri bila nyaraka zozote, kwa mujibu wa mamlaka za Hispania.
         Mhamiaji haramu akiibuliwa na polisi kwenye chimbo alilojificha kwenye gari
       Hili ndilo eneo mhamiaji huyo alikuwa amejichimbia kwenye gari akisafirishwa kwenda Ulaya
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: WAHAMIAJI WAJICHIMBIA KWENYE MAENEO FINYU YA GARI ILI KUZAMIA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top