https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    LUIS SUAREZ AFUNGA GOLI NA KULAZIMISHA SARE DHDI YA BRAZIL


    Mshambuliaji Luis Suarez amefunga goli katika mchezo wake wa kwanza na timu yake ya taifa tangu afungiwe kwa kumg'ata Giorgio Chiellini katika michuano ya kombe la dunia mwaka 2014.

    Goli la Suarez liliisaidia Uruguay kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Brazil katika mchezo ambao wenyeji Brazil walikuwa wakiongoza kwa mabao 2-0, kabla ya Edison Cavani kurejesha goli moja na Suarez kusawazisha la pili.
                                 Renato Agusto akiifungia Brazil bao la pili katika mchezo huo
    Wachezaji wa Barcelona Luis Suarez na Neymar wakikumbatiana kabla ya kuanza mchezo huo wa Brazil na Uruguay
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: LUIS SUAREZ AFUNGA GOLI NA KULAZIMISHA SARE DHDI YA BRAZIL Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top