https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Kai kama baba yake Wyne Rooney…

    kai3
    Kuna msemo usemao mtoto wa nyoka ni nyoka, na hii inaweza kujidhihirisha kwa mtoto wa mwanasoka bora wa ligi kuu ya England Wyne Rooney aitwaye Kai.

    kai2
    Rooney ana watoto wawili Kai na Klay ambao ni kama wanafuata nyayo za baba yao kutokana na kuanza kuonyesha kipaji wakiwa bado wadogo.
    kai
    Kai aliamua kuungana na baba yake jana ndani ya uwanja mara baada ya pambano kati ya Manchester United na Arsenal mchezo ambao walitoka sare ya 1-1.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Kai kama baba yake Wyne Rooney… Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top