Meneja Masoko na mauzo na wa kampuni ya Bonite Bottlers Ltd Christopher Loiruk akizungumza wakati wa kukabidhi msaada kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni katika vijiji hivyo. |
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akipokea msaada wa unga kutoka kwa Meneja mwajiri wa kampuni ya Bonite Bottlers, Joyce Sengoda kwa ajili ya kusaidia waathirika wa mafuriko. |
Mkuu wa wilaya ya Moshi Novatus Makunga akizungumza mara baada ya kupokea msaada kutoka kampuni ya Bonite Bottlers kwa ajili ya waathirika wa mafuriko. |
Eneo moja wapo ambalo wakazi wake wameathirika kwa mafuriko katika kijiji cha Kilungu. |
Msaada wa maji ambayo yametolewa kwa waathirika wa mafuriko katika vijiji hivyo ili kupunguza kutokea kwa maradhi ya tumbo yanayoweza kutokea kwa matumizi ya maji machafu. |
Unga wa ngano ukishushwa kwa ajili ya waathirika hao. |
Baadhi ya nyumba zilizo athirika na mafuriko hayo. |