Mkurugenzi
wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akielekeza jambo
wakati wa ziara yake aliyoifanya kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu
Masasi, mkoani Mtwara ambapo pamoja na mambo mengine amesifu kasi ya
ujezi wa nyumba hizo unaozingatia viwango na muda na akawataka
wafanyakazi wa NHC kuchapa kazi ili kufikia malengo yao waliyojiwekea.
Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa NHC, Felix Maagi, wa pili ni Eliaisa
Keenja wa NHC, Meneja wa NHC mkoa wa Mtwara, Joseph John na Injinia wa
mradi huo Leonard Kazoba.
Mkurugenzi
wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akimsikiliza
Mhandisi wa mradi huo Leonard Kazoba wakati wa ziara yake aliyoifanya
kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi, mkoani Mtwara.

Baadhi ya Nyumba za gharama nafuu Masasi zilizoko mkoani Mtwara.
Mkurugenzi
wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akiendelea na
ziara yake aliyoifanya kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi,
mkoani Mtwara.
Baadhi ya Nyumba za gharama nafuu Masasi zilizoko mkoani Mtwara.
Baadhi ya Nyumba za gharama nafuu Masasi zilizoko mkoani Mtwara.
Mkurugenzi
wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akimsikiliza
Mhandisi wa mradi huo Leonard Kazoba wakati wa ziara yake aliyoifanya
kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi, mkoani Mtwara.
Mkurugenzi
wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akitoa maelekezo
kwa menejimenti na wafanyakazi wa Shirika hilo wakati wa ziara yake
aliyoifanya kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi, mkoani
Mtwara.
Mkurugenzi
wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akimsikiliza
Mhandisi wa mradi huo Leonard Kazoba wakati wa ziara yake aliyoifanya
kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi, mkoani Mtwara.
Mkurugenzi
wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akiendelea na
ziara yake katika mradi wa nyumba za ghorofa za NHC Shangani Apartments
zilizopo katika eneo la Shangani mjini Mtwara, nyumba hizo zipo katika
hatua za mwisho za kukamilika.

Mojawapo
ya majengo katika nyumba za ghorofa za NHC Shangani Apartments zilizopo
katika eneo la Shangani mjini Mtwara, nyumba hizo zipo katika hatua za
mwisho za kukamilika.

mwisho za kukamilika